Sinopsis
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Episodios
-
Matokeo ya mkutano wa AMCEN katika jitihada za bara la Afrika kukabili mabadiliko ya tabinanchi
28/07/2025 Duración: 09minKenya ilikuwa mweneyeji wa mkutano wa 20 wa mawaziri wa mazingira kutoka mataifa ya Afrika, AMCEN, mkutano muhimu kuelekea mikutano ya kimataifa kuhusu mazingira kama vile COP30, INC5.2 na UNEA-7.
-
Mafanikio ya miaka 50 ya utekelezaji wa CITES, kulinda wanyamapori na mimea
21/07/2025 Duración: 10minMkataba wa kimataifa wa CITES ulianza kutekelezwa mnamo Julai mosi 1975. Toka wakati huo mkataba huu umeendelea kusaidia dunia kuzuia kupotea kwa kasi kwa spishi mbalimbali za wanyamapori na mimea zilizokuwa katika hatari ya kutoweka.
-
Mradi wa EACOP umekamilika asilimia 62, wanaharakati wakiendelea kuupinga
14/07/2025 Duración: 09minUjenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda kwenda Tanzania maarufu EACOP umefikia asilimia 62, hivi majuzi raia 26 wa Uganda ambao ni waathriwa wa miradi ya mafuta ya Total ya Tilenga na EACOP wamewasilisha keshi mpya dhidi ya kamuni ya TotalEnergies nchini Ufaransa,
-
Ziwa Viktoria: Nishati ya sola na biogesi yatoa suluhu ya kukabili taka za mabaki ya samaki na dagaa
07/07/2025 Duración: 10minWaachuuzi wa samaki na dagaa walilazimika kutumia mbinu za jadi kama vile kuni na makaa kukausha aina hii ya samaki wadogo, dagaa, hali iliyowasababishia hasara na kuchangia uharibifu wa mazingira kwa kutupa taka za samaki ndani ya Ziwa Victoria.